• English
  • Tujibebe
  • Ukurasa wa mwanzo
  • Mwili Wangu
  • Hadithi za Wasichana
  • Maisha Yangu ya Usoni
  • Maisha Yangu

Kuhusu Tujibebe

Karibu Tujibebe,Sehemu ambayo unakutana na watu mbalimbali,unajifunza mengi, na ni sehemu ya kujenga uwezo wa kujielezea!

Jiamini kwasababu sisi tayari tunajiamini…

Kabla hujaanza kuperuzi kujua yaliyomo ndani ya Tujibebe, tunataka tukueleze kuhusu Muongozo wetu hapa Tujibebe ili kutusadia sisi sote kuwa huru!

Taratibu za Tujibebe

1. Kila mtu anakaribishwa Tujibebe
Hakuna sheria juu ya nani anaweza na nani hawezi kujiunga kwenye jamii hii ya Tujibebe Kila mtu yupo huru kujiunga.

2. Siku zote tu wamoja, hakuna kujisikia kuwa peke yako
Sisi sote tunategemeana kusaidiana,haijalishi ni wakati gani kwani ndivyo jamii ya Tujibebe tulivyo.

3. Sambaza Upendo
Wala usiogope, Tushirikishe stori yako,Tupo hapa kutiana moyo,kupongezana na sio kuhukumu

4. Andelea kuwa na Imani
Tunapokuwa tunapitia nyakati ngumu, Tunatafuta msaada kutoka kwa marafiki, familia na jamii – Tunajipa moyo na hatukati tamaa.

5. Fanya mambo kwa bidii.
Hakuna miujiza katika kupata mafanikio,Ili kufanikisha malengo yako inahitaji uwe na mpango unaoeleweka, Kufanya kazi kwa bidii na Kujitoa kikamilifu

6. Vunja Rekodi
Kamwe Mtu asikukaririshe viwango vya mafanikio kwenye maisha

7. Jipe Raha
“Kupiga kazi kwa bidii ni kitu muhimu lakini usisahahau kujipa raha pia katika safari yako ya maisha

8. Siku zote utabaki kuwa sehemu ya jamiii ya Tujibebe.
Tujibebe ni nyumbani kwako na hata uende wapi,Mlango uko wazi kwa ajili yako.

  • Ukurasa wa mwanzo
  • Kuhusu Tujibebe
  • Ukurasa wa mwanzo
  • Mwili Wangu
  • Hadithi za Wasichana
  • Maisha Yangu ya Usoni
  • Maisha Yangu
  • Kuhusu Tujibebe
  • Wasiliana nasi
  • Sera ya Faragha
  • Sheria na Masharti
  • Jiunge nasi

Msimamizi

  • Facebook Facebook
Tujibebe - Footer
  • Lugha

  • English
Rudi Juu

© 2025 Tujibebe. Haki Zote Zimehifadhiwa. Terms & Conditions